Kibabuza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibabuza ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan iliyozungumzwa na Wababuza. Idadi ya Wababuza imehesabiwa kuwa watu 35 tu lakini wamesahau jinsi ya kuongea lugha ya Kibabuza, yaani lugha yao imetoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibabuza iko katika kundi la Kitambarare-Magharibi (“Western Plains”).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibabuza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.