Kibabango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibabango ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wababango. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibabango imehesabiwa kuwa watu 2550. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibabango iko katika kundi la C40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibabango kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.