Kiawing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiawing ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waawing. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiawing imehesabiwa kuwa watu 19,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiawing iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiawing kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.