Kiaushi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiaushi ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Waaushi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiaushi imehesabiwa kuwa watu 95,200. Pia kuna wasemaji katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiaushi iko katika kundi la M40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaushi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.