Kiattie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiattié ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waattié. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiattié imehesabiwa kuwa watu 381,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiattié iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiattie kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.