Kiasu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiasu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waasu. Isichanganywe na lugha ya Chasu inayozungumzwa nchini Tanzania. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiasu imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiasu iko katika kundi la Kinupoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiasu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.