Kiarta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiarta ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waarta. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kiarta imehesabiwa kuwa watu 11, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarta iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiarta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.