Kiaramanik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiaramanik ilikuwa lugha ya Kinilo-Sahara nchini Tanzania iliyozungumzwa na Waaramanik. Hakuna wasemaji wa Kiaramanik, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaramanik kiko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaramanik kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.