Kianimere
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kianimere ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Waanimere. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kianimere imehesabiwa kuwa watu 700 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianimere kiko katika kundi la Kikwa.
[hariri] Viungo vya nje
- lugha ya Kianimere kwenye Multitree
- ramani ya Kianimere
- http://www.ethnologue.org/show_language.asp?code=anf
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kianimere kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |