Kiambulas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiambulas ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waambulas. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiambulas imehesabiwa kuwa watu 44,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiambulas iko katika kundi la Kindu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiambulas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.