Kialemani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Maeneo penye lahaja za Kialemani

Kialemani (pia: Kijerumani cha Kialemani) ni kundi la lahaja zinazojadiliwa na wau milioni 10 katika nchi 6: Ujerumani ya Kusini-Magharibi, Uswisi, Austria, Ufaransa mashariki, Liechtenstein na Italia. Katika Uswisi huitwa pia "Kijerumani cha Kiswisi"

Kialemani ni lahaja ya lugha ya Kijerumani. Hakuna tahajia inayokubaliwa jinsi gani kuiandika.

Viambishi ni mofimu au viungo vyenye maana ambavyo hufungamanishwa na mzizi/shina la neno ili kulipa neno hilo maana mbalimbali za kisarufi kama vile nafsi, wakati, hali, urejeshi, n.k Viambishi awali ni vile vinavyotangulia mzizi wenyewe, yaani huwa kabla ya mzizi/shina. SHINA AU MZIZI: Hakuna tofauti kati ya shina na mzizi MZIZI/SHINA, Ni sehemu ya neno inayobeba maana yake kuu na huwa haibadiliki, Kwa mfano, tuangalie vitenzi vifuatavyo: a-na-LIM-a wa-li-LIM-i-a ni-ta-LIM-iw-a wa-na-vyo-LIM-a Ukiangalia kwa makini, utaona kuna sehemu ya kitenzi hiki ambayo haibadiliki katika mifano ya hapo juu. Sehemu hiyo ni (-LIM-). Na hii ndiyo shina au mzizi wa kitenzi LIMA. Mfano mwingine: a-li-ki-SOM-a hu-SOM-ew-a wa-li-SOM-e-an-a a-li-m-SOM-e-a i-li-SOM-w-a Tunaona hapa mzizi/shina la kitenzi SOMA, ni -som- Ili utambue shina/mzizi wa kitenzi unafaa kuwazia hali mbalimbali au kauli tofautitofauti za mnyambuliko wa kitenzi halafu ubainishe sehemu isiyobadilika.