Kiakwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiakwa ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Waakwa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiakwa imehesabiwa kuwa watu 24,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiakwa iko katika kundi la C30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiakwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.