Kiaiome

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiaiome (au Kiayom) ni lugha ya Kiramu na Kisepik cha Chini nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waaiome. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaiome iko katika kundi la Kiramu cha Kati.

Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiaiome ilihesabiwa kuwa watu 750.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiaiome kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.