Kiagoi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiagoi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waagoi. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiagoi imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiagoi iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiagoi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.