Kiadioukrou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiadioukrou (au Kiadjukru) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waadioukrou. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiadioukrou imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiadioukrou iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiadioukrou kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.