Kiadhola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiadhola ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Waadhola. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiadhola imehesabiwa kuwa watu 360,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiadhola iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiadhola kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.