Kiabureni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiabureni ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waabureni. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiabureni imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabureni iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiabureni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.