Kiabe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiabé ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waabé. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kiabé imehesabiwa kuwa watu 170,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabé iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiabe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.