Kiabanyom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiabanyom ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waabanyom. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kiabanyom imehesabiwa kuwa watu 12,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiabanyom iko katika kundi la Kiekoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiabanyom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.