| Kat DeLuna |

|
| Maelezo ya awali |
| Jina la kuzaliwa |
Kathleen Emperatriz DeLuna |
| Amezaliwa |
17 Novemba 1987 (1987-11-17) (umri 25)[1][2]
The Bronx, New York City, New York, Marekani |
| Asili yake |
Newark, New Jersey |
| Aina ya muziki |
R&B |
| Kazi yake |
Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mnenguaji |
| Miaka ya kazi |
2006 - hadi leo |
| Studio |
Epic/Konvict Muzik |
| Ame/Wameshirikiana na |
Elephant Man, Omarion, Busta Rhymes, Don Omar, Akon, Darin |
| Tovuti |
www.katdeluna.com |
Kathleen Emperatriz "Kat" DeLuna (amezaliwa tar. 17 Novemba,[1] 1987[2] mjini The Bronx, New York) lakini amekulia katika moja kati ya sehemu za Newark, New Jersey. Kat ni mwimbaji wa Kimarekani mwenye asili ya Kidominika.
Wazazi wake wote wanatokea huko Dominika, mama yake, ana miliki duka la mikate mjini mwa mji wa Newark. Kwa sasa ameingia mkataba na studio ya Epic Records/GMB na studio ya Akon maarufu kama Konvict Muzik.
Konvict imetoa kile cha moyoni kwa kusema kuwa wanampango wa kuitoa upya albamu yake ya kwanza ya mwanadada huyu ya 9 Lives, lakini maelezo yake wa hivi karibuni alioyatoa kupitia mtandao wa myspace na kusema kwamba, amerejea zake studio kwa ajili ya kutoa albamu ya pili, na kupendekeza kuwa albamu ya 9 Lives haito tolewa tena, bali atashughulikia albamu mpya tu.
Maisha y awali[hariri]
| Mwaka |
Jina (Single za Kushirikishwa) |
Chati iliyoshika |
Albamu |
| US |
FRA |
PT |
AUS |
GER |
BE |
NL |
CA |
SE |
FI |
IRE |
SWI |
UK |
| 2007 |
"Cut Off Time" (Omarion akish. Kat DeLuna) |
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
Feel the Noise OST
|
| 2008 |
"Breathing Your Love" (Darin akish. Kat DeLuna) |
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
-
|
2
|
-
|
-
|
-
|
-
|
Flashback
|
Viungo vya nje[hariri]
|
Kat DeLuna
|
|
| Albamu zake |
|
|
| Single zake |
|
|
| Single nyinine |
"Cut off Time"
|
|
| Makala zinazohusiana |
|
|