Karl von Frisch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Karl von Frisch (20 Novemba, 188612 Juni, 1982) alikuwa mwanazuolojia kutoka nchi ya Austria lakini hasa alifanya kazi nchini Ujerumani. Hasa alichunguza tabia za samaki na za nyuki. Mwaka wa 1973, pamoja na Konrad Lorenz na Nikolaas Tinbergen alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karl von Frisch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine