Kapibara
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kapibara | ||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kapibara wa kawaida (Hydrochoerus hydrochaeris)
|
||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Kapibara (kutoka Kiing.: capybara) au Nguruwe-maji (kutoka Kiyunani: ὑδροχοιρος, Kisayansi: Hydrochoerus hydrochaeris) ni mgugunaji mkubwa wa Amerika ya Kusini.
Spishi [hariri]
- Hydrochoerus hydrochaeris, Kapibara wa Kawaida (Capybara)
- Hydrochoerus isthmius, Kapibara Mdogo (Lesser Capybara)
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kapibara kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |