Kansas City, Missouri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Jiji la Kansas City
Jiji la Kansas City is located in Marekani
Jiji la Kansas City
Jiji la Kansas City

Mahali pa mji wa Kansas City katika Marekani

Majiranukta: 39°4′35″N 94°33′19″W / 39.07639°N 94.55528°W / 39.07639; -94.55528
Nchi Marekani
Jimbo Missouri
Wilaya Jackson
Clay
Platte
Cass
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 508,000
Tovuti:  www.kcmo.org
Mji wa Kansas City, Missouri
Kansas City

Kansas City ni mji wa Marekani katika jimbo la Missouri.

Mji una wakazi wapatao 508,000 lakini rundo la jiji linao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu.

Mji upo mita 277 juu ya usawa wa bahari.

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kansas City, Missouri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.