Kanisa Katoliki la Armenia
Kanisa Katoliki la Armenia (kwa Kiarmenia Հայ Կաթողիկէ Եկեղեցի Hay Kat’oġikē Ekeġec’i) ni madhehebu ya Kanisa Katoliki yanayofuata mapokeo ya Kanisa la Armenia katika ushirika kamili na Papa wa Roma.
Ushirika huo ulidhoofika baada ya Mtaguso wa Kalsedonia (451), hasa kutokana na ugumu wa mawasiliano. Lakini haukuisha kabisa, na kwa nyakati mbalimbali uliweza kuimarishwa tena, hasa kuanzia 1195.
Mkuu wake anaitwa Patriarki wa Cilicia wa Waarmenia na kwa sasa ni Nerses Bedros XIX Tarmouni.
Makao makuu huko Bzoummar (Lebanoni, lakini waamini wengi wanaishi Armenia na katika nchi ya kandokando. Wengine wanaishi sehemu nyingi duniani. Jumla wako 539,806 (2008).
[hariri] Picha
- Headquarters of the Armenian Catholic Patriarchate in Bzoummar, Lebanon
-
Armenian Genocide memorial (1960)
-
Memorial relief to the Armenian Genocide and Catholicos Abraham Petros I Ardzivian (1993)
- Armenian Catholic parishes
-
Interior of the Cathedral of the Holy Resurrection, Stanyslaviv, Ukraine (17th century)
-
St. Gregory the Illuminator - St. Elie Church, Debbas Square, downtown Beirut, Lebanon (1909)
[hariri] Viungo vya nje
- Tovuti rasmi kwa Kiarmenia na Kiingereza
- Orodha ya majimbo yake katika Giga-catholic
- Armeniapedia
- Madhehebu ya Kanisa Katoliki