Kamusi ya Kiswahili sanifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

KKS ni kifupi cha "Kamusi ya Kiswahili sanifu" iliyotungwa na wataalamu wa TUKI kwenye chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1981.

Kamusi hii inakusanya maneno ya Kiswahili sanifu na kuyaeleza kwa lugha ya Kiswahili yenyewe.


Marejeo [hariri]

  • Kamusi ya Kiswahili sanifu. Dar es Salaam, Tanzania: Oxford University Press. 1981.