Kamusi ya Kiswahili Sanifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kamusi ya Kiswahili Sanifu ni kamusi ya lugha ya Kiswahili iliyotolewa mara tatu na TUKI (sasa TATAKI).

Inaorodhesha vidahizo (maneno) kwenye kurasa 646, pamoja na maelezo, orodha ya vibadala, kurasa za picha, jedwali za vivumishi na viwakilishi na orodha ya majina ya nchi.