Kaloleni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaloleni pamoja na Kalole ni jina la miji na vijiji mbalimbali katika Afrika ya Mashariki na Afrika ya Kusini.
- Wilaya ya Kaloleni pamoja na mji wa Kaloleni (Kenya) katika Mkoa wa Pwani (Kenya)
- Kata ya Kaloleni kwenye wilaya ya Kilifi katika Mkoa wa Pwani (Kenya)
- Kata ya Kaloleni mjini Moshi katika Tanzania
- Kata ya Kaloleni (Arusha) mjini Arusha katika Tanzania