Kalivari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Kalivari kadiri ya mapokeo ni ndani ya Kanisa la Kaburi na Ufufuo wa Yesu.
Altare kwenye mahali panaposadikiwa kuwa Golgotha. Wahiji wanainama na kubusu nyota inayoonyesha mahali ambapo kadiri ya mapokeo bowmsalaba wa Yesu ulisimamishwa.

Kalivari au Golgotha ni majina mawili (la kwanza ni tafsiri ya Kilatini, la pili ni jina la Kiaramu lilivyo toholewa katika Kigiriki) ya mahali nje ya Yerusalemu wa zamani panaposadikiwa Yesu alisulubiwa akazikwa. Jina asili linamaanisha mahali pa fuvu la kichwa, kutokana na sura ya mwinuko wake.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: