Kaizari Tacitus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shaba inayoonyesha Kaizari Tacitus

Marcus Claudius Tacitus (takriban 200 – Juni 276) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 25 Septemba, 275 hadi kifo chake. Alimfuata Aurelian.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Tacitus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.