Kaizari Maximian
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marcus Aurelius Valerius Maximianus Herculius (takriban 250 – Julai 310) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma pamoja na Diokletian kuanzia 1 Machi, 286 hadi 1 Mei, 305 alipojiuzulu kwa shauri la Diokletian. Upande wa Roma Magharibi alimfuata Numerian.
| Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Maximian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |