Kaizari Decius
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gaius Messius Quintus Traianus Decius (takriban 201 – Juni 251) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Aprili/Mei 249 hadi kifo chake. Alimfuata Philippus Mwarabu aliyemshinda katika pigano la vita. Baadaye alitawala pamoja na mwana wake Herennius Etruscus.
| Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Decius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |