Kabila la Reubeni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kabila la Reubeni ni mojawapo kati ya makabila ya Israeli ambayo kwa jumla ni 12, kutokana na watoto wa kiume 12 wa Yakobo Israeli.

Lilibaki mashariki mwa mto Yordani na polepole lilipotea kwa kumezwa na wakazi wengine wa eneo hilo.

Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabila la Reubeni kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.