Kabila la Dan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kabila la Dan ni mojawapo kati ya makabila ya Israeli ambayo kwa jumla ni 12, kutokana na watoto wa kiume 12 wa Yakobo Israeli.

Dan lilipewa na Yoshua eneo kusini magharibi mwa nchi, lakini kutokana na uwepo wa Wafilisti, walihamia kaskazini kabisa.

Mtu maarufu zaidi wa kabila hilo alikuwa Samsoni.

Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabila la Dan kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.