Justin mfiadini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Kirusi ya Mt. Justin.
Justin (Flavia Neapolis, leo Nablus, Palestina mwaka 103 hivi - Roma, Italia, kati ya 162 na 168) alikuwa mwanafalsafa ambaye alieneza na kutetea Ukristo hata kwa maandishi maarufu, na hatimaye akawa mfiadini.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki, Walutheri na Waanglikana kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Juni.
Maandishi yake [hariri]
- Opera Omnia katika Patrologia Graeca iliyotolewa na Migne pamoja na faharasa
- First Apology
- Second Apology
- Dialogue with Trypho the Jew
- Martyr Justin the Philosopher and those with him at Rome Orthodox Icon and Synaxarion for 1 Juni
- Dialogus cum Tryphone Judaeo - in Greek
Marejeo [hariri]
- Aune, David (1987). The New Testament in its Literary Environment. Westminster John Knox Press. ISBN 978-0664219123.
- Bellinzoni, Arthur J. (1967). The Sayings of Jesus in the Writings of Justin Martyr. Brill.
- Koester, Helmut (2000). Introduction to the New Testament: History and literature of Early Christianity. 2nd ed.. Walter de Gruyter, Berlin. ISBN 3-11-014693-2.
- Koester, Helmut (1990). Ancient Christian Gospels: Their History and Development. SCM Press/Trinity Press. ISBN 978-0334024590.
- Koester, Helmut (1956). "Septuaginta und Synoptischer Erzählungsstoff im Schriftbeweis Justins des Märtyrers". Theol. Habilitationsschrift (Heidelberg).
- Rokeah, David (2002). Justin Martyr and the Jews. Brill. ISBN 90 04 12310 5.
- Skarsaune, Oskar (2007). Jewish Believers in Jesus. Hendrickson Publishers. ISBN 978-1565637634.
- Skarsaune, Oskar (1987). The Proof From Prophecy: A Study in Justin Martyr's Proof Text Tradition. Brill. ISBN 90 04 07468 6.
- EarlyChurch.org.uk
- This article incorporates text from the New Schaff-Herzog Encyclopedia of Religious Knowledge (a text that has entered the public domain and is available online).
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Life and Miracles of St. Justin Martyr
"St. Justin Martyr". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Justin mfiadini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |