| Just Like You |
Kasha ya albamu ya Just Like You.
|
| Studio album ya Keyshia Cole |
| Imetolewa |
Septemba 25, 2007 |
| Imerekodiwa |
2006-2007 |
| Aina |
R&B, hip hop soul |
| Urefu |
48:51 |
| Lugha |
Kiingereza |
| Studio |
Imani/Geffen |
| Mtayarishaji |
Pete Rock, Missy Elliott, Bryan-Michael Cox, Scott Storch, Ron Fair, Rodney Jerkins, The Runners, Mario Winans, Diddy, J. Wells, Gregory G. Curtis, The GhostWriters, T.Rey & C. Broan, Shawn Carroll, Soulshock |
| Tahakiki za kitaalamu |
|
|
| Wendo wa albamu za Keyshia Cole |
|
|
| Single za kutoka katika albamu ya Just Like You |
- "Let It Go"
Imetolewa: Juni 19, 2007
- "Shoulda Let You Go"
Imetolewa: Oktoba 19, 2007
- "I Remember"
Imetolewa: Desemba 5, 2007
- "Heaven Sent"
Imetolewa: Machi 27, 2008
|
Just Like You ni albamu ya pili ya mwanamuziki aitwaye Keyshia Cole. Mwanzowe, ilitolewa mnamo Julai 8, 2007, kisha tarehe ikapelekwa mbele hadi Agosti 7, 2007, na hatimaye ikatolewa Septemba 25, 2007. Albamu hii ilichaguliwa kama Best Contemporary R&B Album kwenye tuzo ya 50th Annual Grammy Awards lakini ilishindwa na albamu ya Ne-Yo inayoitwa Because of You. Mnamo Desemba 2007, albamu hii ilithibitishwa platinum.
Wasanii walioshiriki naye ni kama Missy Elliott, Lil Kim, Too $hort, Amina, Anthony Hamilton, Young Dro, T.I., Chink Santana & Piper.
Just Like You ilifika namba 2 kwenye chati ya Billboard 200, na ikauza nakala 281,419 kwenye wiki yake ya kwanza, zaidi ya mara nne ya mauzo ya albamu iliyopita kwenye wiki ya kwanza.[1] Mnamo Januari 17, 2009, albamu ya Just Like You iliuza takriban nakala 1,584,014 nchini Marekani.
Mnamo Novemba 27, 2008, albamu hii ilitolewa nchini Australia na ikaitwa Just Like You (International Deluxe Version). Toleo hili ni mchanganyiko wa albamu ya Just Like You na The Way It Is na pia inahusisha ushirikiano wa Keyshia pamoja nawasanii kama P. Diddy na Sean Paul. Ina nyimbo 16, na kasha lake ni tofauti na toleo la awali. Mnamo Mei 9, 2008, toleo hili jipya ilitolewa nchini Ujerumani, Austria na Uswizi.ref name="international release">Diskografie Keyshia Cole Alben. KeyshiaCole.de. Rudishwa juu ya 2008-05-08.</ref>
[hariri] Nyimbo zake
[hariri] Toleo la Uingereza
[hariri] Toleo la Kimataifa
Source: Amazon.com[2]
- Let It Go (feat. Missy Elliott & Lil Kim)
- Last Night (feat. Diddy)
- When You Gonna Give It Up To Me (Sean Paul feat. Keyshia Cole)
- Love
- Fallin' Out
- Was It Worth It?
- I Changed My Mind
- I Remember
- I Should Have Cheated
- Heaven Sent
- You've Changed
- Situations (feat. Chink Santana)
- Shoulda Let You Go (feat. Amina)
- Give Me More
- Let It Go (feat. Piper)
- Love, I Thought You Had My Back
[hariri] Chati na thibitisho
|
Keyshia Cole |
|
| Albamu |
|
|
| Single |
|
|
| Single alizoshirikishwa |
|
|
| Makala zinazohusiana |
|
|