Jumatano ya Majivu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jumatano ya Majivu, katika kalenda ya mwaka wa Kanisa la Magharibi, ni siku ya kwanza ya kwaresima, walau kwa madhehebu mengi.
Jina linalotana na desturi ya kumpaka majivu kichwani pamoja na kumtamkia maneno ya kumhimiza afanya toba inavyotakiwa na kipindi hicho cha liturujia kinachoandaa Pasaka.
Kwa kawaida siku hiyo unaanza mfungo unaofuata kielelezo cha Yesu kufunga chakula siku arubaini jangwani baada ya kubatizwa na Yohane Mbatizaji na kabla ya kuanza utume wake mwenyewe.
Filamu [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- A Roman Catholic Ash Wednesday Service
- An Episcopal Ash Wednesday Service
- The Text This Week: Ash Wednesday
- Upper Room Ministries: Biblical Significance of Ash Wednesday
- Dates of Ash Wednesday from 1583–9999
- Lent: Ash Wednesday – All Saints' King's Lynn
| Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jumatano ya Majivu kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |