Jude Ciccolella
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jude Ciccolella | |
|---|---|
| Amezaliwa | 30 Novemba 1947 Burlington, Vermont, Marekani |
| Miaka ya kazi | 1985 – hadi leo |
Richard Jude Ciccolella (amezaliwa tar. 30 Novemba 1947) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la Jude Ciccolella. Pia, anajulikana sana kwa kushiriki kwake katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Katika 24, kacheza kama Mike Novick, ambaye alikuwa akifanya kazi kama Mkuu wa Wafanyakazi wa Ikulu wakati wa utawala wa David Palmer na kisha baadaye katika utawala wa Charles Logan.
Viungo vya Nje [hariri]
- JudeCiccolella.com - The actor's official website.
- Jude Ciccolella at the Internet Movie Database
- Jude Ciccolella at 24.wikia.com
- Mike Novick character on 24 played by Jude Ciccolella, at 24.wikia.com
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jude Ciccolella kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |