Josemaría Escrivá
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Josemaria Escriva (Barbastro, Hispania, 9 Januari 1902 – Roma, Italia, 26 Juni, 1975) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa jumuia ambayo baada ya kifo chake ikawa jimbo lisilo na eneo la Opus Dei.
Mwaka 2002 alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu.
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Josemaría Escrivá kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |