Jordan Aviation

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jordan Aviation ni ndege iliyo na makao yake mjini Amman, katika nchi ya Jordan. Ndege zake zinasafiri nchini na hata ng'ambo. Vilevile, inakodisha huduma zake kwa ndege zitakazo nafasi ya ziada. makao yake makuu ni kwenye uwanja wa ndege wa Marka mjini Amman na uwanja wa ndege wa Aqaba. Pia, inawasafirisha wafanyikazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa.

Yaliyomo

Historia [hariri]

JordanAviationJY-JADatSXF.jpg

Ndege hii ilianzishwa mnamo 2000. Ilianza huduma kutoka mji wa Amman na ilikuwa kampuni ya ndege ya kwanza iliyo ya kibinafsi. Safari za kwenda Afrika Kaskazini zilianza Juni 2006. Jordan Aviation inamilikiwa na Mohamed Al-Khashman na Hazem Alrasekh na ina wafanyikazi 410.[1]

Miji inayosafiria [hariri]

Afrika [hariri]

Luxor (Luxor International Airport)

Asia [hariri]

Uropa [hariri]

Ndege zake [hariri]

Ndege za Jordan Aviation
Aina ya ndege Jumla Wasafiriwa Maelezo
Airbus A310-222 1 234
Airbus A310-304 1 240
Airbus A320-211 1 Inatumiwa na Syrian Arab Airlines
Boeing 727-200 1 161
Boeing 737-300 5 1 inatumiwa na Buraq Air
1 inatumiwa na Toumaï Air Tchad
Boeing 737-400 1
Boeing 767-200ER 3 1 inatumiwa na Sun Air (Sudan)
Gulfstream 1 6
Jumla 14

Marejeo [hariri]

Viungo vya nje [hariri]