Job Yustino Ndugai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Job Ndugai, 2017

Job Yustino Ndugai (amezaliwa 21 Januari 1960) ni mbunge wa jimbo la Kongwa katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tangu tarehe 17 Novemba 2015 hadi 6 Januari 2022 alikuwa Spika wa Bunge la Tanzania. Baada ya kuingia katika ugomvi na rais Samia Suluhu Hassan alipaswa kujiuzulu uspika[2].

Tazama pia

Marejeo

  1. Mengi kuhusu Job Yustino Ndugai (13 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  2. BREAKING: Tanzania's Speaker of Parliament Job Ndugai has resigned, The Citizen, tar. 6 Januari 2022