Wilaya ya Annaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo ya Annaba (Aljeria))
Wilaya ya Annaba, Algeria
Ramani ya Annaba

Annaba ni wilaya mojawapo ya Aljeria. Makao makuu yako mjini Annaba (zamani: Hippo Regius).


Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Annaba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.