Jimbo la Uchaguzi la Webuye
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Uchaguzi la Webuye ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. JImbo hili linapatikana katika Wilaya ya Bungoma mkoani Magharibi na ni moja kati ya majimbo matano ya Wilaya hiyo.
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Yaliyomo |
Historia[hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge[hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Joash Mang’oli | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Musikari Kombo | Ford-K | |
| 1994 | Saulo Wanambisi Busolo | Ford-K | Uchaguzi Mdogo |
| 1997 | Musikari Kombo | Ford-K | |
| 2002 | Musikari Kombo | NARC | |
| 2007 | Alfred Sambu | ODM |
Wodi[hariri]
| Wodi | ||
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
|---|---|---|
| Bokoli | 8,354 | Bungoma County |
| Chetambe | 11,219 | Bungoma County |
| Misikhu | 8,120 | Bungoma County |
| Nabuyole | 5,681 | Munisipali ya Webuye |
| Ndivisi | 10,319 | Bungoma County |
| Sitikho | 7,758 | Bungoma County |
| Webuye Central | 2,883 | Munisipali ya Webuye |
| Webuye North | 3,847 | Munisipali ya Webuye |
| Webuye South | 2,419 | Munisipali ya Webuye |
| Webuye West | 2,806 | Munisipali ya Webuye |
| Jumla | 63,406 | |
| *Septemba 2005 [2]. | ||
Tazama Pia[hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Virejeleo[hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency