Jimbo la Uchaguzi la Tharaka
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tharaka ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Nijimbo la pekee la Uchaguzi katika Wilaya ya Tharaka. eneo lote la Jimbo hilo liko katika Baraza la Tharaka County
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi wa 1988.
wabunge [hariri]
| Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge[1] | Chama | Vidokezo zaidi |
|---|---|---|---|
| 1988 | Francis Nyamu Kagwima | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Francis Nyamu Kagwima | KANU | |
| 1997 | Murago Cicilio Mwenda | DP | |
| 2002 | Francis Nyamu Kagwima | Ford-Asili | |
| 2007 | Alex Muthengi Mwiru | PNU |
Wodi [hariri]
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura Waliosajiliwa |
|---|---|
| Chiakariga | 3,993 |
| Gatue | 2,307 |
| Gikingo | 4,787 |
| Kamarandi / Kamanyaki | 2,608 |
| Kanjoro | 3,056 |
| Kathangachini | 1,388 |
| Maragwa | 2,060 |
| Marimanti | 2,686 |
| Nkondi | 5,622 |
| Ntugi | 2,521 |
| Tunyai | 4,682 |
| Turima | 4,480 |
| Total | 40,190 |
| *Septemba 2005 [2]. | |
Tazama Pia [hariri]
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency