Jimbo la Uchaguzi la Saku
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Uchaguzi la Saku ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Marsabit mkoani Mashariki, miongoni mwa majimbo matatu katika wilaya hiyo. Eneo lote la jimbo hili liko chini ya Baraza la Utawala wa Mitaa la Marsabit County.
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Yaliyomo |
Historia[hariri]
JImbo hili liliazishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge[hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Jillo Jarso Falana | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Jillo Jarso Falana | KANU | |
| 1997 | Abdi Tari Sasura | KANU | |
| 2002 | Abdi Tari Sasura | KANU | Sasura aliaga katika ajali ya angani mnamo 2006 [2]. |
| 2006 | Hussein Sasura | KANU | Uchaguzi Mdogo |
| 2007 | Hussein Sasura | ODM-Kenya |
Kata na wodi[hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya watu* |
|---|---|
| Badasa | 2,898 |
| Dakabaricha | 5,119 |
| Dirib Gombo | 4,523 |
| Karare | 5,445 |
| Mountain | 8,943 |
| Nagayo | 7,530 |
| Qilta | 3,712 |
| Sagante | 3,886 |
| Songa | 3,498 |
| Jumla | 45,554 |
| *Hesabu ya 1999 [3]. | |
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
|---|---|
| Dakabaricha | 2,714 |
| Dirib Gombo | 2,990 |
| Karare | 2,486 |
| Mountain | 4,763 |
| Sagante | 2,930 |
| Jumla | 15,883 |
| *Septemba 2005 [4]. | |
Tazama Pia[hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Virejeleo[hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Redorbit.com, 10 Aprili 2006: Kenyan military plane crash kills 11
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje[hariri]