Jimbo la Uchaguzi la Mvita
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mvita ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Mkoa wa Pwani na ni mojawapo ya Majimbo manne katika Wilaya ya Mombasa. Eneo lote la Jimbo hili iko chini ya Baraza la munisipali ya Mombasa.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988 huku mbunge wake wa kwanza akiwa Shariff Nassir.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Shariff Nassir | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Shariff Nassir | KANU | |
| 1997 | Shariff Nassir | KANU | |
| 2002 | Najib Balala | NARC | |
| 2007 | Najib Balala | ODM |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Watu* |
|---|---|
| Majengo | 40,241 |
| Railway | 9,527 |
| Tononoka | 29,044 |
| Jumla | x |
| *Hesabu ya 1999[2]. | |
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
|---|---|
| Bondeni | 9,352 |
| King'orani | 7,471 |
| Majengo | 18,272 |
| Mwembe Tayari | 11,576 |
| Shimanzi | 10,134 |
| Tononoka | 9,049 |
| Jumla | 65,854 |
| *Septemba 2005 [3]. | |
Tazama Pia [hariri]
- Shariff Nassir
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]