Eneo bunge la Mogotio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Mogotio ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo sita ya Kaunti ya Baringo.

Lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1997.

Jimbo hili lina wodi 12 na zote huchagua madiwani kwa Baraza la Kaunti.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997 William Cheruiyot Morogo KANU
2002 Joseph Kipkapto Korir KANU
2007 Hellen Sambili UDM

Kata[hariri | hariri chanzo]

Kata
Wodi Wapiga Kura waliojisajili
Cheberen 997
Emining 3,318
Kakimor / Rosoga 1,755
Kamar 1,112
Kimng'orom / Sirwa 2,295
Kisanana 1,576
Koibos-Soi 1,079
Lembus Kiptoim 2,187
Lembus Mogotio 4,584
Muguriny 2,330
Ol Kokwe 764
Sinende 860
Jumla 22,857
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]