Jimbo la Uchaguzi la Malindi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Malindi ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uuchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo mawili katika Wilaya ya Malindi ya Mkoa wa Pwani nchini Kenya.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
JImbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa 1963, ambaop ulikuwa uchaguzi wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1963 | Francis Bobi Tuva | KADU | |
| 1969 | Francis Bobi Tuva | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | Francis Bobi Tuva | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | Francis Bobi Tuva | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | Francis Bobi Tuva | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1988 | Francis Bobi Tuva | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Abubakar Mohamed Badawy | KANU | |
| 1997 | Abubakar Mohamed Badawy | KANU | |
| 2002 | Lucas B. Mweni Maitha | NARC | |
| 2007 | Gideon Mung’aro | ODM |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Watu* |
|---|---|
| Chakama | 6,586 |
| Ganda | 16,161 |
| Gede | 26,805 |
| Goshi | 16,823 |
| Jilore | 9,832 |
| Langobaya | 14,513 |
| Malindi | 102,411 |
| Watamu | 21,034 |
| Jumla | x |
| *Hesabu ya 1999 [2]. | |
| Wodi | ||
| Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
Baraza la Utawala wa Mtaa |
|---|---|---|
| Barani | 7,199 | Munisipali ya Malindi |
| Ganda / Mkaumoto | 4,970 | Munisipali ya Malindi |
| Gede | 7,440 | Munisipali ya Malindi |
| Kijiwetanga | 4,161 | Munisipali ya Malindi |
| Madunguni | 3,194 | Munisipali ya Malindi |
| Malimo | 1,398 | Munisipali ya Malindi |
| Malindi Central | 6,927 | Munisipali ya Malindi |
| Malindi North | 3,362 | Munisipali ya Malindi |
| Malindi South | 10,162 | Munisipali ya Malindi |
| Watamu | 6,741 | Munisipali ya Malindi |
| Chakama | 1,626 | Malindi County |
| Jilore | 2,865 | Malindi County |
| Lango Mbaya | 3,809 | Malindi County |
| Jumla | 63,854 | |
| *Septemba 2005 [3]. | ||
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo [hariri]