Jimbo la Uchaguzi la Lari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Lari ni mojawapo ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Kiambu miongoni mwa majimbo matano katika wilaya hiyo iliyo katika Mkoa wa Kati wa Kenya. Jimbo hili lina wodi sita ambazo huwachagua madiwani kwa Baraza la Kiambu County.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo la Lari lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1966, uchaguzi wa pili wa Taifa huru la Kenya. Mbunge wake wa kwanza alikuwa J. M. Koinange.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1966 | J. M. Koinange | KANU | |
| 1969 | Andrew Kuria Kinyanjui | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | Andrew Kuria Kinyanjui | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | Peter Turuthi Mungai | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | Peter Turuthi Mungai | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1988 | Andrew Kuria Kinyanjui | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Philip Gitonga | Ford-Asili | |
| 1997 | Philip Gitonga | SDP | |
| 2002 | James Viscount Kimathi | KANU | |
| 2007 | David Njuguna Kiburi Mwaura | PPK |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Watu* |
|---|---|
| Gatamaiyu | 14,532 |
| Gitithia | 8,304 |
| Kamae | 11,905 |
| Kamburu | 13,970 |
| Kijabe | 21,000 |
| Kinale | 13,127 |
| Kirenga | 17,991 |
| Lari | 9,425 |
| Nyanduma | 15,993 |
| Jumla | x |
| *Hesabu ya 1999 [2]. | |
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura waliojiandikisha |
|---|---|
| Gatamaiyu | 12,122 |
| Kijabe | 9,309 |
| Kinale | 8,486 |
| Kirenga | 7,620 |
| Lari | 6,962 |
| Nyanduma | 6,007 |
| Jumla | 50,506 |
| *Septemba 2005 [3]. | |
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency