Jimbo la Uchaguzi la Lamu Mashariki
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lamu Mashariki ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimmbo mawili ya wilaya ya Lamu mkoani Pwani nchini Kenya. Jimbo hili lina wodi sita, zote zikichagua madiwani katika baraza la Lamu County.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1966, huku mbunge wake wa kwanza akiwa Abubakar H. M. Madhubuti.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1966 | Abubakar H. M. Madhubuti | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1969 | Abubakar H. M. Madhubuti | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1970 | Mzamil Omar Mzamil | KANU | Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | Abubakar H. M. Madhubuti | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | Mzamil Omar Mzamil | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | Mzamil Omar Mzamil | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1988 | Abubakar H. M. Madhubuti | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Abu Chiaba | KANU | |
| 1997 | Mohamed Salim Hashim | KANU | |
| 2002 | Abu Chiaba | KANU | |
| 2007 | Abu Chiaba | PNU |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Watu* |
|---|---|
| Basuba | 873 |
| Faza | 2,166 |
| Kiunga | 1,040 |
| Kizingitini | 1,733 |
| Mbwajumwali | 2,903 |
| Ndau | 2,205 |
| Pate | 2,144 |
| Siyu | 2,137 |
| Tchundwa | 3,221 |
| Jumla | x |
| Hesabu ya 1999 [2]. | |
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
|---|---|
| Basuba | 311 |
| Faza / Tchundwa | 2,971 |
| Kiunga | 1,107 |
| Kizingitini West | 3,646 |
| Ndau | 1,042 |
| Siyu / Pate | 2,558 |
| Total | 11,635 |
| *Septemba 2005 [3]. | |
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]