Eneo bunge la Kitui Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Kitui Magharibi ni mojawapo ya majimbo 290 ya Kenya. Jimbo hili ni miongoni mwa mjimbo nane ya kaunti ya Kitui, Mashariki mwa Kenya.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa pili wa Kenya mnamo 1966.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1966 Parmenas Nzilu Munyasia KANU
1969 Parmenas Nzilu Munyasia KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Winnie Nyiva Mwendwa KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Parmenas Nzilu Munyasia KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Parmenas Nzilu Munyasia KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1984 Kitili Mwendwa KANU Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja. Mwendwa aliaga dunia mnamo 1985 in katika ajali barabarani [2]
1986 Kyale Mwendwa KANU Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Kyale Mwendwa KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Winnie Nyiva Mwendwa KANU
1997 Francis Mwanzia Nyenze KANU
2002 Winnie Nyiva Mwendwa NARC
2007 Charles Mutisya Nyamai NARC

Wodi[hariri | hariri chanzo]

Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha Utawala wa Mtaa
Kalimani / Matinyani / Mutulu 8,215 Munisipali ya Kitui
Kithumula / Kauma 5,245 Munisipali ya Kitui
Kanyangi / Kiseuni 6,275 Kitui county
Katutu / Mutanda 4,395 Kitui county
Kivani / Kauwi 5,683 Kitui county
Kwa-Vonza 2,446 Kitui county
Kwa Mutonga / Kathivo 4,315 Kitui county
Musengo / Usiani 5,832 Kitui county
Mutonguni / Kakeani 8,672 Kitui county
Yatta / Nthongoni 7,240 Kitui county
Jumla 58,318
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
  2. David Throup & Charles Hornsby: Multi-party Politics in Kenya James Currey Publishers, 1998 ISBN 085255804X
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency